Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi

Habari

Wiki ya Utumishi wa Umma 2017

Tarehe : 16 Jun 2017

labels.lbl_author : NHBRA

Taarifa kwa Umma

Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi (NHBRA) unapenda kuutangazia Umma kwamba katika kuadhimisha Wiki ya Utumishi wa Umma 2017, Wakala unawakaribisha wananchi kutoa malalamiko na kero zao kwa kutembelea ofisi ya NHBRA iliyopo Mwenge jijini Dar Es Salaam, kutuma barua pepe (dawatilamsaada@nhbra.go.tz) au kupiga simu kupitia nambari 0679 972 715. Huduma hii itaanza tarehe 16/06/2017-23/06/2016 kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi saa 10.00 jioni.

Office Location

Copyright © 2019 Wakala wa Taifa wa Utafiti wa Nyumba Bora na Vifaa vya Ujenzi Haki zote zimehifadhiwa. kanusho    MAKALA